Mtangazaji wa makala haya juma hili ameangazia mazungumzo ambayo yanafanyika mwishoni mwa juma hili kati ya viongozi wa kundi la M23 na viongozi wa Serikali ya DRCongo ambapo pamoja na mambo mengine pia wameangazia hali ya usalama iliyopo kwasasa nchini humo.
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire