mardi 30 juillet 2013

Mugabe apongeza wapinzani kwa kufanya kampeni kwa utulivu huko Zimbabwe

Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe
REUTERS/Philimon Bulawayo

Na Emmanuel Richard Makundi
Zikiwa zimesali saa kadhaa kabla ya wananchi wa Zimbabwe kupiga kura katika uchaguzi mkuu, Rais Robert Mugabe amelihutubia Taifa huku akiwashukuru wananchi na vyama vya upinzani kwa kufanya kampeni safi wakati huu upinzani ukilalama kuhusu kufanyiwa hujuma.
Kwa taarifa zaidi sikiliza ripoti ya Emmanuel Richard Makundi.............

WRAP MAKUNDI MUGABE CONGRATULATES OPPOSITION PARTIES
 
30/07/2013

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire