mardi 9 avril 2013

Kenya

 9 Aprili, 2013 - Saa 11:07 GMT
  • Maelfu ya watu wamejaa uwanja wa Kasarani viungani mwa mji wa Nairobi kushuhudia sherehe za kuapishwa kwa Uhuru Kenyatta
    dakika 34 zilizopita
  • Rais mya wa Kenya aapishwa chini ya katiba mpya na miaka mitano baada ya kufanyika uchaguzi uliokumbwa na ghasia
    1 saa dakika 27 zilizopita
  • Rais mteule wa Kenya, Uhuru Kenyatta, asema katika ujumbe wa Pasaka ataka Wakenya waombe amani
    31.03.13
  • Nchini Kenya kumeanza kutulia Jumapili baada ya ghasia kidogo za Jumamosi usiku kufuatia uamuzi wa mahakama kumpa ushindi Kenyatta
    31.03.13
  • Waziri Mkuu wa Uingereza amepeleka salamu za hongera kwa rais mteule wa Kenya pamoja na wananchi
    30.03.13
  • Mahakama ya juu zaidi nchini Kenya imeamua kuwa rais mteule Uhuru Kenyatta ndiye rais halali wa Kenya kwani alichaguliwa kwa njia huru
    30.03.13
  • Polisi wamedhibiti usalama kote nchini Kenya huku uamuzi wa mahakama ya juu zaidi kuhusu kesi ya uchaguzi ukisubiriwa
    30.03.13
  • Mahakama Makuu ya Kenya yasubiriwa kutoa uamuzi juu ya matokeo ya uchaguzi wa rais wa awali mwezi wa March
    30.03.13
  • Takriban watu 7 wameuawa nchini Kenya baada ya genge la majambazi kuvamia ukumbi mmoja wa kuchezea kamari mjini Malindi pwani mwa Kenya.
    28.03.13
  • Carl Pistorius huenda akakabiliwa na kosa la mauaji ya mwanamke mmoja katika ajali ya barabarani karibu na Johannesburg.

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire