
Rais wa Ufaransa Francois Hollande akiwa na mgeni wake rais wa Tanzania Jakaya Kikwete kwenye ikulu yake mjini Paris
Kwa hisani ya Ikulu ya Tanzania
Mtangazaji wa makala haya juma hili ameangazia ziara ya rais wa Tanzania, Jakaya Kikwete nchini Ufaransa ambapo alikuwa na mazungumzo na rais Hollande na kubwa ni uhusiano kati ya mataifa hayo mawili.
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire