vendredi 14 novembre 2014

NAIROBI: Tabia ya wanaume kuwavua wanawake nguo fupi

https://www.youtube.com/watch?v=nzw1NoKyKj4
 
Na Victor Melkizedeck Abuso
Ijumaa hii tunaangazia tabia ya  baadhi ya wanaume barani Afrika au maeneo mengine duniani, kuwavamia na kuwavua nguo wanawake wanaovaa nguo fupi hasa Mini Sketi kama ilivyoshuhudiwa jijini Nairobi nchini Kenya katika siku za hivi karibuni.

Je, tabia hii ni sahihi, na wanawake wana haki ya kuvaa wapendavyo ?

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire