DEKAZOM infos : blog d'information générale
mardi 9 avril 2013
Kenya
9 Aprili, 2013 - Saa 11:07 GMT
Kenyatta aapishwa kama Rais wa Kenya
Maelfu ya watu wamejaa uwanja wa Kasarani viungani mwa mji wa Nairobi kushuhudia sherehe za kuapishwa kwa Uhuru Kenyatta
dakika 34 zilizopita
Sherehe za kuapishwa rais mpya wa Kenya
Rais mya wa Kenya aapishwa chini ya katiba mpya na miaka mitano baada ya kufanyika uchaguzi uliokumbwa na ghasia
1 saa dakika 27 zilizopita
Wakenya waombe amani
Rais mteule wa Kenya, Uhuru Kenyatta, asema katika ujumbe wa Pasaka ataka Wakenya waombe amani
31.03.13
Kenya shuwari kidogo
Nchini Kenya kumeanza kutulia Jumapili baada ya ghasia kidogo za Jumamosi usiku kufuatia uamuzi wa mahakama kumpa ushindi Kenyatta
31.03.13
Cameron ampongeza Kenyatta
Waziri Mkuu wa Uingereza amepeleka salamu za hongera kwa rais mteule wa Kenya pamoja na wananchi
30.03.13
Uchaguzi Kenya ulikuwa huru na wa haki
Mahakama ya juu zaidi nchini Kenya imeamua kuwa rais mteule Uhuru Kenyatta ndiye rais halali wa Kenya kwani alichaguliwa kwa njia huru
30.03.13
Usalama wadhibitiwa Kenya
Polisi wamedhibiti usalama kote nchini Kenya huku uamuzi wa mahakama ya juu zaidi kuhusu kesi ya uchaguzi ukisubiriwa
30.03.13
Hukumu ya uchaguzi wa Kenya yasubiriwa
Mahakama Makuu ya Kenya yasubiriwa kutoa uamuzi juu ya matokeo ya uchaguzi wa rais wa awali mwezi wa March
30.03.13
Watu 7 wauawa ukumbini Kenya
Takriban watu 7 wameuawa nchini Kenya baada ya genge la majambazi kuvamia ukumbi mmoja wa kuchezea kamari mjini Malindi pwani mwa Kenya.
28.03.13
Nduguye Oscar Pistorius Mahakamani
Carl Pistorius huenda akakabiliwa na kosa la mauaji ya mwanamke mmoja katika ajali ya barabarani karibu na Johannesburg.
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire
Article plus récent
Article plus ancien
Accueil
Afficher la version mobile
Inscription à :
Publier les commentaires (Atom)
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire