Thursday 05 septemba 2013
Bunge la Uingereza likijadilia hali ya Syria
REUTERS
Hivi karibuni maseneta wa Marekani waliidhinisha pendekezo la
Marekani kuishambulia Syria kutokana na matumizi ya silaha za kemikali.
Makala ya Habari Rafiki leo hii itaangazia hali ya mambo nchini Syria
huku jumuiya ya kimataifa ikiendelea na harakatika za kusaka amani
nchini humo.
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire