Wakenya hii leo wameadhimisha miaka 35 tangu kutokea kifo cha
rais mwanzilishi wa taifa hilo mzee jomo Kenyatta. Kenyatta aliaga
dunia tarehe 22 mwezi Agosti mwaka wa 1978. Mwanahabari wetu Paulo Silva
amehudhuria hafla hiyo na hii hapa ni ripoti yake
News Report - Sherehe za kuadhimisha miaka 35 tangia kifo cha rais mwanzilishi mzee jomo Kenyatta
Aucun commentaire:
Enregistrer un commentaire